Header Ads

Breaking News
recent

Video ya 'Naji' - 'Utanielewa'.

Naj alikua na ukimya mrefu kidogo kwenye Bongofleva, hakutoa ngoma wala video kwa muda kidogo lakini sasa amerudi kwenye TV na Radio kwa mara nyingine na hii mpya inaitwa ‘Utanielewa’ ambayo inazidi kusogea juu kwenye chati ya video 50 zinazotazamwa sana Tanzania kwa sasa….

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.