Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SASA FURAHIA KUTIZAMA (ASILI TV ONLINE) KILA WAKATI

August 4, 2017

Video: Trailer ya Movie mpya ya 'Secret Superstar' imetoka.

Secret Superstar ni filamu mpya ya drama ya kihindi, iliyoandikwa na kuongozwa na muongozaji Advait Chandan kwa ushirikiano wa mkali wa filamu India Aamir Khan na Kiran Rao
Filamu ya Secret Superstar itaachiwa rasmi October 20, 2017 (USA+ India). Mastaa waliocheza ni pamoja na Aamir Khan, Meher Vij,  Zaira Wasim, Raj Arjun.
Sasa unaweza kuiona Treiler yake hapo chini>>>