Header Ads

Breaking News
recent

Royality Mtoto wa msanii Chris Brown atambulisha bidhaa zake, Vipodozi na Nguo.

Mtoto wa kwanza wa Chris Brown,Royalty mwenye umri wa miaka 3 anafata nyayo za Baba yake, ambapo kupitia wazazi wake mtoto huyu maarufu ametambulisha bidha zake za nguo na vipodozi kwaajili ya watoto wa jinsia zote.
Nguo hizo zitakuwa na muonekano wa rangi tofauti, magauni na vipodozi kwaajili ya watoto wanaopenda kutoka na kupendeza, mama wa Royalty, Nia Guzman anasaidia pia.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.