Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SASA FURAHIA KUTIZAMA (ASILI TV ONLINE) KILA WAKATI

August 6, 2017

Nyimbo 5 za video zinazotamba wiki hii Bollywood India - Shah Rukh Khan na Jacqueline Fernandez watamba.

Nafahamu huenda ukawa ni mmoja kati ya wafuatiliaji wazuri wa nyimbo na filamu za kihindi, Asili Yetu Tanzania ninahakikisha unapata stori zote za kihindi hapa.

Sasa wiki hii mkali Shah Rukh Khan na malikia Jacqueline Fernandez kupitia nyimbo zao wameonekana kushika chat. Sasa angalia nyimbo 5 za video zinazofanya vizuri kwa sasa.