Header Ads

Breaking News
recent

Uzinduzi wa Usharika Mpya wa Ilkiranyi (KKKT) wafana Jijini Arusha

July 30 2017 Jijini Arusha viongozi wa dini wakiongozwa na Baba Askofu Dkt Solomon J Masangwa pamoja na wageni waalikwa na baadhi ya viongozi wa Serikali, walijumuika katika Ibada ya Uzinduzi na uwekaji wa jiwe la msingi katika Usharika Mpya wa ILKIRANYI.

Hayo yalifanyika jana katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati Jimbo la Arusha Magharibi katika Usharika Mpya wa ILKIRANYI ambapo baadhi ya viongozi waliyohudhuria ni pamoja na Mbunge wa Jimbo la Arumeru mh. Gibson Meseyek, Meya wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro na wengineo.

Tazama video hapo chini, uone jinsi ilivyokuwa>>>
Gibson Meseyek Mbunge wa jimbo la arumeru akitoa shukran zake kwenye ibada ya uzinduzi wa usharika wa Ilkiranyi>>> Kalist Lazaro Maya wa jiji la arusha akitoa shukran kwenye ibada ya uzinduz wa usharika wa ilkiranyi>>>

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.