Header Ads

Breaking News
recent

Tiketi za kushuhudia pambano la ngumi kati ya Mayweather na McGregor za weka rekodi.

Tiketi za kushuhudia mpambano wa masumbwi kati ya Floyd Mayweather dhidi ya Conor McGregor zinauzwa kwa dola 150,000.
Mpambano huo unatajwa kuwa wa gharama zaidi kuwahi kutokea na tiketi kwa sasa zinauzwa kama njugu.

Unatarajiwa kupigwa Agosti 26 katika uwanja wa T-Mobile mjini Las Vegas utakaoingiza watu elfu 20.

Mayweather mwenye miaka 40 awali alistaafu mchezo wa masumbwi lakini amerejea tena kupambana na McGregor.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.