Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

July 14, 2017

Picha:Beyonce aonyesha picha ya watoto wake mapacha kwa mara ya kwanza.


Dunia imekuwa ikisubiria kwa hamu kuona watoto wa mapacha wawili wa mastaa Beyonce (35) na Jay Z (47), ambapo leo Ijumaa Queen Bey amevunja ukimia kupitia account yake ya Instagram na kuweka picha yake akiwa amebeba mapacha wao.

Kati ya mastaa walio like picha hiyo ni pamoja na Kim Kardashian, ambae familia yake kwa siku za usoni hawakuwa na mahusiano mazuri.