Header Ads

Breaking News
recent

Asili Yetu Tanzania inakuletea punguzo maalum la msimu wa Nane Nane 2017 kwa kutangaza shughuli yako kwa bei nafuu.

Asili Yetu Tanzania Blog kupitia kurasa zake za mitandao ya habari online, inapenda kukutaarifu ewe mkulima, mjasilia mali na mtu yeyote unayehita shughuli yako ifahamike na mamilioni ya watu kupitia mitandao yetu online (Asili Promo), unakaribishwa kuchangamkia ofa hii maalu.

Kutokana kuwa tunauzalendo na nchi yetu Tanzania, basi ASILI YETU TANZANIA BLOG kupitia kitengo chake cha promotion (Asili Promo) imetoa punguzo maalum la kutangaza shughuli yako katika msimu huu wa sikukuu ya wakulima NANE NANE.

Ziko ofa nyingine nyingi utakazozipata (mteja wetu) endapo utatangaza nasi, aidha kwa kupost habari yako katika mtandao wetu au kuweka tangazo asilia, litakaloonekana kwa mamilioni wa folower wetu.

Kwa mawasiliano zaidi tumia hizo namba hapo juu kwenye banner.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.