Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

May 5, 2017

Video: Hussein Machozi - "Nipe Sikuachi".

Ni headlines za Mwimbaji kutoka Bongo Flevani, Hussein Machozi ambae watu wengi walikuwa na kiu ya sauti yake kwenye spika za Radio sasa time hii staa huyo ametuletea video ya single yake mpya iitwayo ‘Nipe Sikuachi’ iliyofanyika nchini Italy.

Icheki video hii hapa chini...