Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

May 5, 2017

Video: Harmonize - "Happy Birthday".

Kama hukupata time ya kutupia video mpya ya msanii Harmonize kutoka Wasafi Classic Baby, sasa Harmonize  kutoka WCB amekusogezea video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Happy Birthday’.

Sasa itupie macho hapa chini....