Header Ads

Breaking News
recent

Usipitwe na maajabu matano ya hii dunia 2017.

Kila kukicha tunahesabu siku nyingine na matukio pia huwa ni mengine, sasa leo nimekutana hizi Stori Tano huenda zikakushangaza, na ukabaki na maswali mengi, #kumbeeeee!!

1. Vatican City, EL Salvador Nicaragua Malta Chile Jamhuri ya Dominica haziruhusu utoaji mimba hata kama hali ya mzazi iko hatarini.

2. T-shirt ziligunduliwa mwaka 1904 na zilikuwa maalumu kwa wanaume wasiokuwa na wapenzi wa kuwasaidia kufunga vifungo vya mashati.

3. Kwa mujibu wa Bill Gates (Tajiri wa Dunia) hadi kufikia mwaka 2035 hakutakuwa na nchi yenye umasikini wa kutupwa kama ilivyo sasa.

4. Mwanasayansi Sir Isaac Newton muda mwingi alikuwa busy na tafiti zake, inasemekana alifariki akiwa hajawahi kufanya tendo la ndoa.

5. Hangover ndefu kuwahi kumpata mnywaji wa pombe ilidumu kwa wiki nne (mwezi mzima) na huyu si mwingine ni mnywaji kutoka Scotland alikunywa glass 60 za bia (pombe). 

Haya na mengine mengi wakwetu, endelea kufuatilia blog hii kila siku, na #ukujeeee!!

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.