Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

May 6, 2017

Shilole amtaja anayempenda kati ya Diamond Platnumz na Alikiba.

Kueleza hisia zako ni sehemu ya kukufanya uwe na amani ya moyo na kuonyesha mapenzi ya dhati kwa kile unachokipenda ni sehemu ya kua na furaha ya moyo.

Sasa hatua hizi zimegonga hodi kwa staa wa Movie na muziki wa kizazi kipya Zuwena Muhamed maarufu kama Shilole au Shishi Baby amesema yeye..

Mimi namkubali zaidi Diamond Platnumz kuliko Alikiba, nampenda Diamond kutoka na mambo yake na vile alivyo, kwa hiyo kila mtu ana watu anaowakubali na kuwapenda” Na hii ni kupitia #KikaangoniEATV ....

Nini mtizamo wako kuhusu kuhusu mastaa hawa?