Header Ads

Breaking News
recent

Nimeacha Foundation Media Tour - Arusha.

Judith (kiongozi wa youth) na Stanley (mtangazaji wa Nimeacha Radio Show) na mtangazaji wa Arusha One (kulia) ndani ya Arusha One Radio.
Nimeacha Foundation Limited inayo furaha kuwakaribisheni kuungana na "Nimeacha Youth Club" (umoja wa vijana wa Nimeacha) katika kutembelea kituo cha watoto wenye ulemavu wa viungo na usonji alhamisi ya May 4th , 2017 katika shule ya msingi Leganga Arusha.
Judith (kiongozi wa youth) na Charles (Video Grapher wa nimeacha Foundation) wakiwa njiani kuelekea Arusha One Radio)
Watoto hawa wanahitaji msaada wako, japo hata kukaa nao kwa muda mfupi tu, itakua ni faraja kubwa kwao.
Kama unapenda kuwa sehemu ya tukio hili, tafadhali wasiliana nasi kupitia>>>>> nimeacha2016@gmail.com, www.facebook.com/NimeachaFoundation
Na kama utaguswa kutoa msaada wa nguo, dawa ya meno, miswaki, sabuni, number boards au kitu chochote kile tujulishe, nasi tutakuja kuvichukua! +255 743 627 160
Asante!

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.