Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

April 29, 2017

Morning - Navy Kenzo - (Video)

Kundi la Navy Kenzo wametuletea hii video mpya ya single yao iitwayo ‘Morning’, Video imetayarishwa kwenye mji wa Tel Aviv nchini Israel, na imeongozwa na Gleb Smirnov.

Chukua time yako wakwetu utupia macho video hii hapo chini.....