Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

March 19, 2017

VIDEO ya Professor Jay - "Kibabe" iko hapa.

Mbunge wa jimbo la Mikumi na msanii mkongwe wa Bongo fleva Joseph Haule a.k.a Professor Jay ameachia video yake mpya wimbo unaitwa “Kibabe”. Video imeongozwa na Hanscana.

Itupie macho hii video hapo chini....