Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

March 19, 2017

Video ya Jay Moe - "Nisaidie Kushare".

Jay Moe ameachia video ya ngoma yake mpya, Nisaidie Kushare. Imetayarishwa na Mr T Touch katika studio zake za Touchez Sounds na video imefanyika Durban na Petermaritzburg, Afrika Kusini na kuongozwa na Travellah wa Kwetu Studios.