Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

March 19, 2017

Video: Baraka The Prince - "Acha Niende".

Muimbaji mwenye sauti ya pekee kutoka ndani ya label ROCKSTAR4000, Barakah The Prince baada ya kufanya vizuri na wimbo Nisamehe akiwa amemshirikisha Alikiba, ameachia video ya wimbo wake mpya Acha Niende.

Audio ya wimbo huu imeandaliwa na producer Maneck kutoka AM Records na video imeongozwa na kampuni ya Head Master Production.