Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

March 4, 2017

Stamina V/S Songa - Michano 101 / Bongo Fleva (Video)

Ile michano ya 101 ambayo inakutanisha wasanii wa wili wa hip hop, sasa inajerea na wakali wawili ya miondoko ya rap, hapa namzungumzia Stamina na Songa.

Watazame hapo chini na utoe maoni yako nani kakupatia mistari mikali, pia usisahau kufuatilia Bongo Fleva ya Clouds fm kila Jumamosi na Kenedy The Remedy ndo anasimamia mpango mzima...