Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

March 14, 2017

New Audio: Maua Sama - "Main Chick". mp3

Msanii mkali wa miondoko ya muziki wa kizazi kipya, muite Maua Sama baada ya kufanya vizuri na kazi zake nyingi zilizotamba kama Mahaba Niuwe, Sisikii, sasa ameachia kazi yake mpya hii hapa inaitwa “Main Chick”.

Sikiliza hapa wimbo wake mpya.....