Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

March 6, 2017

Msanii maarufu Uingereza, Adele aweka wazi mahusiano yake ya ndoa.

Msanii maarufu wa Uingereza Adele hatimaye ameweka bayana kwamba ameolewa na Simon Konecki wakati alipokuwa akitumbuiza, mjini Brisbane Australia.

Wawili hao wamejaliwa mtoto mmoja wa miaka 4 kwa jina Angelo
Awali
.


Kumekuwa na uvumi kwamba wawili hao walioana na kwamba Adele alimtaja kuwa mumewe katika tuzo za Grammy.