Header Ads

Breaking News
recent

Jinsi ya kujikinga using'atwe na mbwa.

Mbwa ni mnyama anayefugwa nyumbani na ni sehemu ya familia zetu kwa baadhi yetu, mbwa ni mnyama tunaemtumia katika ulinzi. 

Wapo mbwa wa aina mbalimbali lakini kuna baadhi pia hupewa mafunzo ya jinsi ya kukabiliana na waharifu.

Na mbwa wengi wanaotumika kitaalamu ni wale wa sekta za ulinzi nchini pamoja na baadhi ya watu binafsi. 

Sasa Asili Yetu Tanzania imepata baadhi ya njia hizi za kujikinga kutoumwa na mbwa, katika sauti hiyo chini Utamsikia mtaalamu Judith Patrick kutoka Mbwa wa Afrika akifafanua zaidi.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.