Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

March 4, 2017

Audio Music: Amini - 'Radio". mp3

Msanii  wa muziki wa kizazi kipya, unaweza kumuita Amini ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Radio. Wimbo umeandaliwa na producer Jobanjo.