Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

February 14, 2017

Wanasayansi wamegundua Sayari 60 mpya zenye uwezo wa viumbe kuishi.

  
Wanaastronomia wamegundua sayari mpya 60 karibu na sayari tunayoishi - na kati ya hiz,o nyingi zinauwezo wa kuhifadhi viumbe.

Hata hivyo timu ya wanasayansi wa kimataifa wamegundua uwezekano wa sayari nyinine 54 uwezo sayari, kwa maana ya kuwa katika watafiti wote wamegundua sayari 114.

Na angalau baadhi ya sayari zinauwezo wa kuwa kama Dunia, na uwezo wa kusaidia maisha, watafiti wamesema.