Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

February 28, 2017

Video: Yemi Alade - "Marry Me".

Yemi Alade ni msanii wa muziki kutoka Nigeria, ambae amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na nyimbo zake zinazofanya vizuri Afrika na kwingineko. Baadhi ya nyimbo za yemi zinazobamba ni pamoja na "Na Gode" (2016), 'Johnny' (2014), 'Koff Anani' (2016), 'Taking Over Me' (2014), Kom Kom' (2016) na nyinginezo...

Sasa nakusogezea wimbo wake mpya wa video 'Marry Me' unaotoka katika album yake ya 'Mama Africa' aliyoiachia mwaka 2016. Itazame hapo chini.....