Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

February 22, 2017

Video: Umewazidi Wote - Bahati Bukuku (Official Video)

Muimbaji wa muziki wa njili maarufu kama Bahati Bukuku, ni kati ya wasanii wakike wanaofanya muziki wa Injili unaowavutia watu wengi, hasa visa anavyovitumia katika nyimbo zake kama vile wimbo wa Tupa Tupa, Maamuzi yako... Sasa chukua nafasi utizame moja video zake....