Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

February 28, 2017

Video: Mwasiti amekuletea wimbo huu - "Kaa Nao".

Msanii wa miondoko ya kizazi kipya maarufu kama Mwasiti, amekuletea wimbo wake mpya wa video unaoitwa "Kaa Nao", chukua time kuutupia macho hapo chini na usisahau kudondosha maoni yako hapo chini..........