Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

February 3, 2017

Video: Diamond Platnumz Ft. Ne-Yo - "Marry You".

Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, video ya Diamond Platnumz ya wimbo wake, Marry You aliomshirikisha Ne-Yo imetoka. 

Kwa mara ya kwanza video hii imewekwa kwenye channel ya Vevo ya staa huyo.