Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

February 6, 2017

Simu zisizoingiza maji hata idondoke kwenye ndoo ya maji, zina Waterproof Phone Case.

Stress za watu katika matumizi ya simu ni pale inapopotea, kuanguka na kupasuka au hata kudondoka katika maji na kuacha kufanya kazi kabisa. 

Sasa leo usijali wakwetu nakusogezea hii teknolojia kutoka kwa wanasayansi ambao wao wamegundua kava za simu zinazo weza kuzuia maji kutoingia kwenye simu yako.

Simu hiyo inauwezo hata wa kuchukua picha ndani ya maji yani hata kina cha hadi mita tatu. Na sasa kava hizi zinatumika katika aina hii ya simu, iPhone 5, 5s, SE, iPhone 6, iPhone 6S, iPhone 6 Plus, iPhone 7, na iPhone 7 Plus.

Tazama video hii hapo chini uone jinsi inavyokuwa.....