Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

February 12, 2017

Picha za mtoto mpya wa Diamond 'Nillan' sasa zawekwa hadharani.

Bilashaka wewe ni mmoja kati ya mashabiki wengi wa Mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz walikua wakisubiria hii siku, Diamond kupost picha ya mtoto wake wa pili aitwae Nillan ambaye toka amezaliwa hakuna shabiki aliyepata nafasi ya kuona sura yake.
Sasa muda ndio huu wa wewe shabiki kumuona mtoto wa kiume wa msanii Diamond Platnumz.
Hongera sana Diomond kwa mtoto wa pili na Mungu awabariki mwingine.