Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

February 9, 2017

Picha: Sheebah Karungi, msanii kutoka Uganda akishuti video ya wimbo wa 'Bum Sakata.

Reigning female artist of the year Sheebah Karungi ameonekana akishuti video ya single yake mpya "Bum Sakata" ambayo pia ameiachia juzi kati.
Sheebah msanii kutoka Udanda ni kati ya wasanii wakike wanaosumbua katika game ya muziki nchini Uganda.
Sasa chukua time yako kusikiliza DOWNLOAD huu wimbo wake hapa.