Header Ads

Breaking News
recent

Picha: Beyonce kujifungua mapacha.

Stori maarufu kutoka Marekani ni tangu Donald Trump aapiswhe kuwa rais wa Marekani, taarifa kuu kutoka wakati huo zimekuwa zikihusiana na siasa.

Kabla ya Trump kuapishwa, mashabiki wengine walidai kuwa Beyonce angetoa albamu mpya wakati Trump akiapishwa.

Wengi walitegemea kuwa Bey angetoa Album, hata hivyo Beyonce hakutoa albamu bali alitangaza kupitia mtandao wa Instagram kuwa angetoa vitu tofauti.
 
Ukweli ni kwamba Beyonce ana ujauzito wa mapacha.
Picha ya Instagram ilimuonyesha Beyonce akiwa amepiga magoti kando na maua akionekana kuwa mjamzito.
Taarifa hizo za Beyonce zilionekana kuwavutia watu kutoka mitandao mingine.
Watu wengine wamekuwa wakitoa maoni yao kuhusu majina watakayopewa watoto wa Beyonce, wenginewakisema waitwe Yellow na Red Ivy.
 Binti wa umri wa miaka mitano wa Beyonce na Jay Z aliopewa jina la Blue Ivy Carter.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.