Header Ads

Breaking News
recent

New Music: Mozey Radio tayari ameachia wimbo wake wa kwanza kutoka katika Album yake ya Gospel - Kilimanjaro - wimbo unaitwa 'Niwe Yahwe'. mp3

Juzi kati kuna stori nilikuletea kutoka Kampala Uganda kuhusu mmoja wa kundi la Goodlyfe Mozey Radio kuachia Album yake ya Gospel ambayo ameipa jina la Kilimanjaro.

Sasa leo mwendelezo wa stori hiyo umenoga ikiwa ni baada ya Radio kuachia single yake ya kwanza ya miondoko ya Gospel kutoka katika Album yake mpya ya Kilimanjaro ambayo imesheheni muziki wa Injili.

Wimbo huo unaitwa 'Niwe Yahwe', usiwe na wasi wasi utaupakua hapa na kuenjoy gospel kiroho safi. 

Anyway Mozey ni msanii ambaye ameimba nyimbo nyingi sana na akiwa na mwanakundi wake Weasel, nafikiri kitendo cha yeye kumuimbia Mwenyezi Mungu hata Album moja tu, ni hatua kubwa.

Sasa unaweza kuudownload wimbo huu hapo chini.
Download

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.