Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

February 13, 2017

New Music: Jose Chameleone - 'Superstar' Mp3

Msanii mkongwe wa muziki kutoka Kampala Uganda Maarufu kama Dr. Jose Chameleone amechia ngoma kali mpya inayoitwa 'Superstar' ikiwa ni baada ya mboyoyo nyingi kwenye media zao kulalama kuwa jamaa hana msisimko tena katika kasnia ya muziki nchini humo.

Anyway guys isiwe kesi, sasa kudhihirisha kuwa Jose bado anamake kwenye game amekudondoshea hii audio hapo chini, pakua na enjoy your day.

Download