Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

February 13, 2017

New Music: Bebe Cool - 'Nananana' mp3

Bebe Cool ni msanii mkubwa sana kutoka Kampala Uganda, ni kati ya wasanii wakubwa watatu nchini humo wanaonyoosha game ya muziki.

Sasa nataka nikufahamishe kuwa, kwasasa Bebe Cool ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwajina la 'Nananana' - hii ni kupitia howwe....

Download