Header Ads

Breaking News
recent

Music: Irene Ntale wimbo wake mpya unaosemekana kudiss... Umeleak - 'Twelageko' mp3

Mmoja kati ya wasanii wa kike nchini Uganda wanaofanya poa na wenye kuchukua headlines kila kukicha, basi msanii Irene Ntale ni kati yao.

Irene siku za hivi karibuni aliondoka katika lable ya Swangz Avenue iliyokuwa ikimsimamia, kitu kilichozua mzozo katika vyombo vya habari.

Inasemekana kitendo cha Ntale kuondoka katika lable hiyo hakikumpendeza kabisa.

 Sasa leo kuna stori iliyoandikwa na mtandao wa Uganda wa howwe, kuwa mwanda dada huyo amezama studio na kurekodi ngoma ambayo inasemekana ni diss kwa boss wake wa zamani, wimbo huo umeleak... unaitwa 'Twelageko' ucheki hapo chini... 
Download

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.