Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

February 6, 2017

Mashindano ya mbio za magari Afrika kufanyika Tanzania.

Mashindano ya mbio za magari Afrika yanatarajiwa kufanyika nchini Tanzania mwezi Agosti mwaka huu kutafuta bingwa wa mbio za magari Afrika.

Afisa uhusiano wa chama cha mbio za magari Tanzania (AAT), Athuman Hamis amesema mashindano hayo yatakuwa na ushindani mkubwa na kuwataka madereva kuanza maandalizi mapema ili kukabiliana na ushindani.


Mashindano hayo yatashirikisha washiriki toka nchi mbalimbali barani Afrika ikiwezo Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Angola, Zimbabwe, Afrika Kusini ambazo hadi sasa zimethibitisha kushiriki.

Source: CRI