Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

February 21, 2017

Maajabu ya Upinde wa mvua yatokea Singapore.

Tukio nadra sana angani, la kutokea kwa upinde unaofanana na ndimi za moto, lilitokea katika anga la Singapore na kuwasisimua sana wakazi.

Upinde huo ulidumu kwa takriban dakika 15 na ulionekana kote katika kisiwa hicho.

Taarifa za habari zinaashiria kwamba huenda ulitokana na miali ya jua kuchepuzwa au kupindishwa na chembechembe za barafu kwenye mawingu.

Wengine wanasema huenda ilitokana na kutawanyishwa kwa miali ya jua na matone ya maji angani.

Karibu ufuatilie pia kipindi cha HOT 112 RADIO SHOW.