Header Ads

Breaking News
recent

Lens bora ya simu duniani na yenye uwezo wa kusogeza mbalamwezi karibu kabisa.

Kila kukicha ndoto za wanasanyansi bado hazifiki kikomo bali zinazidi kuongezeka tu, japo haijalishi ni lini zitatimia. Bilashaka wewe ni mtumiaji mzuri tu wa simu za smart na wakati mwingine umekuwa ukichukua matukio ya kipapalazi hata kama wewe si mwandishi wa habari.
Sasa wanasanyansi wameona anyway usipate tabu, wamekuletea lens ya simu (ComPlus) yenye uwezo mkubwa sana yani ya kuvuta vitu vilivyo mbali sana kama vile mbala mwezi na kuvisogeza karibu kabisa kwenye simu yako.

Endelea kutembelea Asili Yetu Tanzania blog kwa stori kibao zinazoendelea kuibuka.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.