Header Ads

Breaking News
recent

Kipindi Kipya cha 'Hot 112 Radio Show' kuteka watu wengi duniani wanaotumia Kiswahili.

Kwa yule mjanja wa kutaka kufahamu exclusives zinazotokea duniani kote, basi HOT 112 RADIO SHOW ni kipindi cha radio kitakachokuwa kinakusogezea vitu amazing yani, stori za kitofauti, Interviews na promo kwa wafanya biashara na wasanii pia.

Mtangazaji atakayekufanya ufurahie kipindi cha Hot 112 ni yule yule 'wakwetu', Victor Machota a.k.a Chota Boy.

Tembelea blog hii kila siku kupakua kipindi hiki..... na leo pakua promo/utangulizi wa kipindi hiki hapo chini.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.