Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

February 14, 2017

Kampuni ya Samsung inatarajia kuzindua simu za Galaxy S8.

Kama wewe ni mtumiaji wa simu za Sumsung basi hii habari itakufaa sana wakwetu, ikiwa nibaada ya toleo lililopita kuzingua, sasa Sumsung imepanga kuzindua simu mpya za Galaxy S8 mwezi Machi..