Header Ads

Breaking News
recent

Huyu ndio Daktari mzee zaidi ambaye bado anafanya upasuaji nchini Urusi.

 Kuna msemo unasema ng'ombe hazeeki maini, vile vile kwa binadamu kama mtu unaipenda kazi yako, basi utaifanya hadi mwisho.

Leo Feb 8 2017 nimekutana hii stori ya huyu daktari bibi kutoka Urusi ambaye anaonyesha kuipenda kazi yake ya udaktari...

Dr. Alla Ilyinichna Levushkina ana miaka 89, ni daktari mzee zaidi wa upasuaji ambaye bado anaendelea na kazi nchini Urusi.

Kila wiki anafanya upasuaji kwa mara nne. Mwezi Mei atatimia umri wa miaka 90.
Source CRI

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.