Header Ads

Breaking News
recent

Diamond Platnumz awa msanii wa kwanza Afrika Mashariki kusainishwa katika lable ya Universal Music Group (UMG).

Hatimaye record label kubwa duniani, Universal Music Group (UMG), imemtangaza rasmi kumsainisha Diamond Platnumz.

Anakuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kusainishwa kwenye label hiyo.

Wimbo wake, Marry You akiwa na Ne-Yo ni wa kwanza kutoka chini ya mwamvuli wa Universal Music.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.