Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

February 5, 2017

Charger ya simu inayojichomeka yenyewe kwenye simu.

Bilashaka wakwetu wewe ni mmoja wa watu mbao hutumia chaja za simu kwa kuchomeka na mkono na wakati mwingine labda ukajikuta unapata ugumu wa kuweka chaja kwenye simu yako, na kupelekea kuharibu charging system.

Sasa wanasayansi hawataki shida wao wamekuundia chaja ambazo ukisogeza tu simu yako karibu na chaja, inajichomeka yenyewe. Chaja hii ni kwaajili ya iPhone na Android, tazama video hii hapo chini.....