Header Ads

Breaking News
recent

Celine Deon ampatia ushuri Beyonce jinsi ya kulea mapacha.

Habari zilizopo duniani kote ni kuhusu ujauzito wa msanii kutoka Marekani maarufu kama Diva Bey - Beyonce, na kuna baadhi ya picha nyingi tu ambazo Beyonce amezishare akiwa tumbo wazi kudhihirisha kuwa anaujauzito wa watoto Mapacha.

Beyonce ambaye ni mke wa raper maarufu kutoka Marekani kwa jina Jayz, ameshauriwa na msanii mkongwe na mwenye sauti ya kuita ndege na nyuki, Celine Dion amempatia ushuri msanii Beyonce ambaye anatarajia kujifungua mapacha hivi karibuni.
Celine Dion msanii na mama wa mapacha wa mika 6 na mmoja mkubwa wa miaka 16, ameonekana kuvutiwa na msanii mwenzake mama Blue Ivy au Beyonce na kumdondoshea ushauri wa jinsi ya kulea mapacha anaotarajia hivi karibuni.

Katika kuonyesha furaha kwa Beyonce, Celine alimzungumzia Bey hivi... "I think it's a double blessing," Dion told E! News. "I have twins. I think she's covered. She's been in the business for so long, she's got her own people."

"Beyoncé knows what she does," she said. "When she does something, she knows what she's doing. She looks amazing. She makes women dream. She's so beautiful. She's on top of things."

She also gushed over her Grammys performance: "She looked gorgeous and I was watching and I was like, 'Oh my God.' And when her mother presented her? Oh my God! I thought it was just so amazing."

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.