Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

January 30, 2017

Video: Missy Elliott Ft. Lamb - "I'm Better".

Mmoja kati ya Rapper wa kitambo wa kike kutoka Marekani maarufu kama Missy Elliott, baada yakuwa kimia kwa muda mrefu, sasa amerejea na hii video akimshirikisha Lamb, video inaitwa "I'm Better".

Kiukweli mtindo alioutumia katika video hii, ni tofauti na mtindo wake wa nyuma, aina hii ya hip hop ndio inayotumika sana kwa sasa, yani kama hujisikii kucheka, ukiangalia video hii basi lazima ujikute ukicheka mwenyewe, itupie macho hapo chini.....