Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

January 14, 2017

Video: Joti aurudia wimbo wa Darasa 'Muziki".

Si jambo geni sanaa kusikia mtu amerudia wimbo wa msanii flani, lakini shauku ni yale manjonjo yaliyoongezeka katika wimbo huo.

Sasa nimekuwekea hapa video hii ya Joti ambaye ni mchekeshaji ambaye huzirudia baadhi ya nyimbo zinazofanya vizuri, time hii ameirudia ya Darassa ya ‘Muziki’ ambayo ni moja kati hit single zilizofunga mwaka 2016 vizuri kabisa na bado ikiwa inaendelea kufanya vizuri mpaka sasa kwenye TV na Radio station.