Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

January 24, 2017

Video: Awilo Longomba Ft. Yemi Alade - "Rihanna".


Msanii mkongwe wa muziki wa dansi kutoka Congo DRC, Awilo Longomba ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Rihanna’ aliomshirikisha Yemi Alade wa Nigeria.