Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

January 31, 2017

Video: Aliyeomba ugoro mgodini Geita, aelezea bababu za kufanya hivyo huku akiwa hatarini..

Moja kati ya stori kubwa kwa mwezi wa kwanza 2017 ambayo imestajabisha uma ni hii ya wachimbaji 15 wa madini kutoka mkoani Geita kufukiwa na kifusi na kulazimika kukaa chini ya kifusi hicho kwa siku nne kabla ya kupewa msaada.

Lakini stori iliyoambatana na hii ni pale mmoja wa wachimbaji hao 15, baada ya kuwanza kupewa msaada, yeye aliwaagizia waokoaji wameletee ugoro, najua ungependa kujua kwanini alihitaji ugoro na ilikuaje, tazama video hiyo chini akuelezeee....

Source: TZA