Header Ads

Breaking News
recent

Top 5 ya ndege ambazo ni kubwa zaidi duniani

Kampuni ya Boeing inajulikana kama mtengenezaji mkubwa namba moja wa ndege duniani kwa miaka mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2011. 

Kampuni za Boeing na Airbus ndio washindani wakubwa zaidi duniani kwa kutengeneza ndege kubwa ambazo ni za gharama na  ambazo husafiri umbali mrefu kwa kasi zaidi.

Imeelezwa kuwa mashirika matatu ya kimataifa ya ndege ambayo ni Emirates, Qatar na Etihad yametajwa kuwa wanunuzi wakubwa wa ndege hizo, aidha Shirika la ndege la Singapore na Lufthansa yametajwa pia kutumia ndege hizo kubwa.

Tazama hapo chini ndege tano kubwa duniani....

5. Qantas Air, Boeing 747-400
5
4. Boeing 747-8i
4
3. Airbus A380-800 (Emirates Superjumbo Jet)
3
2. Antonov An-225 Mriya
2-antonov-an-225-mriya
1. Airlander 10
1

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.