Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

January 25, 2017

New Audio: 'Panadol' — Radio & Weasel ft Dr Jose Chameleone

Hatimae ile kolabo ya 'Panadol' kutoka Uganda ya wasanii wa kundi la Goodlyfe yani  Radio na Weasel wakimshirikisha mkongwe wa muziki nchini humo Dr Jose Chameleone ndio hii, sasa unaweza kuipakua hapo chini...